Mioyo Iliyojeruhiwa Na Mabenchi Tupu Kanisani - F Wayne Mac Leod - Livres - Createspace Independent Publishing Platf - 9781725712676 - 15 août 2018
Si la couverture et le titre ne correspondent pas, le titre est correct.

Mioyo Iliyojeruhiwa Na Mabenchi Tupu Kanisani

F Wayne Mac Leod

Prix
€ 13,99

Commandé depuis un entrepôt distant

Livraison prévue 10 - 21 janv. 2025
Les cadeaux de Noël peuvent être échangés jusqu'au 31 janvier
Ajouter à votre liste de souhaits iMusic

Mioyo Iliyojeruhiwa Na Mabenchi Tupu Kanisani

Ni kipi husababisha watu kuyahama makanisa yao? Je, ni haki wakati wote kulihama kanisa? Je, mipasuko yote kanisani ni mibaya? Utahamaje kanisa wakati kuhama inaonekana ni kitu cha lazima? Je, utatibu namna gani kutoka mhemuko na maumivu ya kiroho ambayo kutokana na migawanyiko ya kuchukiza na isiyopendeza? Ingawa haya sio maswali rahisi kuyajibu, uhakika wa mgawanyiko na mpasuko wa Makanisa kwenye makanisa uko bayana. Majaribio ya somo hili ni kukuchunguza jambo hili kwa upole na kutoa baadhi ya Mwongozo wa Kibiblia wa kulishughulika nakupitia hili mapambano ya kawaida tunayohisi katika kanisa la siku za leo.

Médias Livres     Paperback Book   (Livre avec couverture souple et dos collé)
Validé 15 août 2018
ISBN13 9781725712676
Éditeurs Createspace Independent Publishing Platf
Pages 70
Dimensions 152 × 229 × 4 mm   ·   104 g
Langue et grammaire Swahili  

Afficher tout

Plus par F Wayne Mac Leod